Jiunge nasi kwenye safari ya kusisimua kutembelea Hifadhi ya Taifa Mikumi! Safari ya kutwa nzima itafanyika tarehe 14 Disemba. Gharama: – 🚙 Gari ya wazi: TZS 195,000 – 🚌 Coaster: TZS 135,000 Safari itaanzia katika Stesheni ya SGR Posta – Dar es Salaam. Kwa maelezo na usajili, wasiliana nasi: 📞 0755-559013 #MikumiNationalParkTanzaniaSmileSafaris# #MikumiSafariExploreTanzaniaDayTrip# #iSafariExperienceWildlifeAdventureVisitTanzania