WAZIRI KIJAJI AMPOKEA BRAYDON BENT.

Shabiki mashuhuri duniani wa klabu ya soka ya Manchester City ya Uingereza Braydon Bent atua Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuanza ziara ya ‘ki-Royal Tour’ hifadhini humo leo tarehe 28. Januari, 2026.
IDADI YA WATALII WANAOITEMBELEA TANZANIA YAENDELEA KUPAA

Watalii wa ndani na nje wameendelea kuiamini na kuichagua Tanzania kama nchi salama ya kuitembelea kwa ajili ya kujionea vivutio mbalimbali vya Utalii ambapo kwa mwaka 2025 pekee idadi ya Watalii imeongezeka kwa asilimia 9 ukilinganisha na mwaka Jana.
Funga Mwaka Kijanja…..Talii

Funga Mwaka Kijanja…..Talii
NKOBA ATOA NENO MAHAFALI YA 28 FITI

Naibu Katibu Mkuu, Bw. Nkoba Mabula akikagua kazi za Mikono za wahitimu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu (FITI) Mkoani Kilimanjaro.
Ni bandika bandua, Watalii wamiminika Tanzania

Hakuna kilichosimama, Watalii waendelea kumininika Tanzania
TUME YA UTUMISHI WA UMMA YAANZA UKAGUZI WA MIFUMO YA UTUMISHI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Ukaguzi wa Mifumo ya Utumishi Wizara ya Maliasili na Utalii
HIFADHI YA MKOMAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi leo Oktoba 17, 2025 ametembelea Hifadhi ya Mkomazi, moja ya vivutio na hifadhi zenye zao la utalii wa Faru utakayemuona kwa karibu zaidi kuliko hifadhi nyingine nchini. Mradi huo wa Faru hadi kufikia Septemba 2025 kuna jumla ya Faru Weusi 50 (Madume 22 na majike […]
SERENGETI AWARDS 2025

Visit www.serengetiawards.go.tz and register your Nomination
TANAPA WAZINDUA APP YA “TANAPA GO”

Uzinduzi wa programu tumizi (App) iitwayo “Tanapa Go”iliyo chini ya Hifadhi za Taifa (TANAPA).
WANANCHI ITILIMA WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUUNDA MFUMO WA MALIPO YA KIFUTA JASHO /MACHOZI

Share To Wananchi wa vijiji vya Nyantugutu, Lung’wa na Nding’ho vyaWilaya ya Itilima Mkoani Simiyu wameipongeza Serikali kwa kuunda na kuboreshamfumo wa ukusanyaji wa taarifa za wanyamapori wakali na waharibifu (Problemanimal information system- PAIS) ambao umerahisisha malipo ya kifutajasho/machozi pindi madhara ya wanyamapori wakali na waharibifu yanapotokea kwawananchi. Hayo yamesemwa na Afisa Mtendaji wa Kijiji […]