WANANCHI WA KIJIJI CHA SHIGELA- BUSEGA WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA FISI
Share To Wananchi wa Kijiji cha Shigela Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya fisi wanaovamia makazi ya watu. Rai hiyo imetolewa na Afisa Uhifadhi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Bw. Lusato Masinde katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Shigela leo Oktoba 6, 2025 ambapo timu ya wataalam […]